Katika maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru wa Tanzania bara vikosi mbali mbali vya ulinzi na usalama vilisehelesha sikuu ya uhuru vikiwemo jeshi la polisi, jeshi la magereza na jeshi la wananchi wa Tanzania.
Pia katika useleheshaji huo vikundi mbali mbali vya ngoma za asili vilialikwa kikiwemo na kikundi maarufu cha Tanzania all stars.
Kikosi cha makomando chini ya Jeshi la wananchi wa Tanzania kiliweza kuonesha mbinu mbali mbali za kivita, ikiwemo kufanya uokozi kwa viongozi mashuhuri na wananchi kwa ujumla ikiwa watatekwa na magaidi ndani ya jengo.
Hii hatua ilionesha kuibua shangwe kwa wananchi kutokana na umahili waliotumia kufanya zoezi hilo.
Kuangalia video ya makomando wakiokoa raia ndani ya jengo
TANZANIA: Makomando wa jeshi la wananchi (JWTZ) wafanya onesho la uokoaji
Reviewed by info tza
on
12:26 PM
Rating:
No comments: