Paris: Mchezaji wa Real Madrid atwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2017


Mchezaji wa klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon D or na kuwagalagaza kina Lionel Messi wa klabu ya Barcelona ya nchini hispania pia na Neymar Jr wa klabu ya Paris St German (PSG)  ya nchini Ufaransa akiwa amefikisha tuzo tano sawa na Lionel Messi wa Barcelona 

Angalia video hapa chini akipokea tuzo yake

Paris: Mchezaji wa Real Madrid atwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2017 Paris: Mchezaji wa Real Madrid atwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2017 Reviewed by info tza on 10:55 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.