Mama Anna Mghwira ajiunga na CCM


Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo na mgombea pekee mwanamke wa uraisi katika uchaguzi uliofanyika mwaka 2015 uliompa ushindi mgombea wa chama cha mapinduzi (ccm) amejiunga na chama hicho mkoani dodoma. 

Hii inakuja ikiwa ni miezi imepita tangu ateuliwe na raisi Magufuli kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro baada ya mkuu wa mkoa aliyekuwepo kuomba kupumzika. 

Katika kupokea kadi ya chama cha mapinduzi mama Anna Mghwira amesema ameridhika na mwendo mpya wa chama hicho chini ya mwenyekiti mpya ambae pia ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa John Magufuli. 
Mama Anna Mghwira ajiunga na CCM Mama Anna Mghwira ajiunga na CCM Reviewed by info tza on 6:35 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.