Korea Kaskazini vita na Marekani haviepukiki


Nchi ya Korea Kaskazini kupitia kwa waziri wake wa mambo ya nje amekiri na kusema vita baina ya nchi yake na Marekani haviepukiki hii ni kutokana na mazoezi ya pamoka ya kijeshi yanayoendeshwa kati ya Korea kusini na Marekani karibu kabisa na nchi hiyo ya Korea Kaskazini. 

Tofauti na miaka iliyopita mazoezi ya kijeshi ya mwaka huu yanaonekana kuwa ya tofauti sana kutokana na idadi ya wanajeshi waliohusika kwenye luteka hiyo pamoja na idadi kubwa ya silaha za kisasa ikiwemo ndege za kivita na makombora. 

Kuangalia video 


Korea Kaskazini vita na Marekani haviepukiki Korea Kaskazini vita na Marekani haviepukiki Reviewed by info tza on 2:57 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.