Mwana mfalme Prince William wa Kasri la Cambridge na
mkewe Kate wanatarajia kupata mtoto wao wa tatu baada ya mkewe kuwa mjamzito.
Kwa mujibu wa Tweet iliyowekwa kwenye mtandao wa
twitter iliyotolewa na kasri ya Kennsington imetoa taarifa kuwa wanandoa hao
wanatarajia kuongeza familia. Nikinukuu tweet hiyo ilieleza “The Duke and
Duchess of Cambridge are very pleased to announce that The Duchess of Cambridge
is expecting their child”.
Kama ilivyokuwa katika ujauzito zake mkewe Prince
William amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutapika kupita kiasi.
Mtoto wao wa kwanza alizaliwa mwaka 2013 aitwaye Prince
George na mtoto wao wa pili alizaliwa mwaka 2015 aitwaye Chorlette Elizabeth
Diana ikiwa alipewa jina la kumuenzi bibi yake Princess Diana.
Prince William na Kate wanatarajia kupata mtoto wa tatu
Reviewed by info tza
on
11:38 AM
Rating:
No comments: