Unapenda kupunguza uzito, ila kutokana na kutoweza
kugharamia uzembe, au mda wa kwenda gym inakuwa shida kwako? Bhac usiwe na hofu
unaweza kupunguza tumbo na uzito bila kwenda gym hata bila kutumia gharama
yoyote.
Ni hayahaya maji ambayo kila siku tunaoga, kufanyia
shughuli nyingine za kilimo za nyumbani hata viwandani. Unaweza kutumia dawa
kupunguza tumbo lako na unene pia. Soma jinsi maji ya moto yanavyoweza
kukusaidia kupunguza uzito.
Njia za kupunguza tumbo kutumia maji moto
- Kunywa angalau glasi 7 au 8 za maji moto kila siku, ukipata ya baridi sio vibaya pia, ila ya moto yanashauriwa zaidi.
Unywaji wa maji ni muhimu sana katika miili yetu kwa
kuwa kila. Miili yetu inahitaji maji ili iweze kusharabu virutubisho na kutoa
taka mwili(Kutoa uchafu kwenye miili yetu).
- Kunywa glasi moja ya maji moto asubuhi kabla hujaweka kitu chochote,
Hii itakusaidia kutibu tatizo la mmengenyo hafifu kwa kuwa
itatoa nje sumu kwenye mwili na kushawaza mwili wako, huku ikisaidia kuvunja
vunja chakula katika vipande na kuvitoa nje kutumia utumbo mpana.
- Kunywa maji moto dakika kumi na tano kabla ya kula chakula chochote
Hii itakusaidia ule chakula uweze kula chakula kidogo
tofauti na ukinywa maji ya baridi. Ukinywa maji moto tumbo litajaa mapema .
Kwa kuwa maji moto yanasaidia kuvunja vunja mrundikano
wa vyakula mwilini katika vipande
vipande itakusaidia kupunguza tumbo na unene pia.
Hii itasaidia kalori(kipimo cha joto litolewalo na
chakula) za mwili wako. Uunguzaji wa kalori itasaidia shughuli ya ujenzi na
uvunja vunjaji wa kemikali mwilini haraka. Watalaam wanaamini kunywa maji moto
kabla ya kuweka kitu chochote tumboni itakuongezea nafasi ya kula chakula
kidogo.
Pia maji moto yanasaidia kuunguza kalori za mwili na
kuufanya mwili wetu uweze kuendana sawa na joto la mwili, itasaidia kupunguza
uzito.
Watu wengi wanachoka haraka kunywa maji moto tu kila
siku bila kuweka kitu chochote. Usiwe na wasi wasi unaweza ukaongeza vionjo
kama limau, asali, tangawizi au majani pia.
Bila shaka unatambua hatari ya uzito kwa afya yako?
Bila shaka umejua jinsi ya kutumia majimoto kupunguza unene. Mda mwingine ikiwa
huna mda wa kwenda gym unaweza ukanywa maji ya moto ili uweze kufikia ndoto
yako ya kupunguza unene.
Kwa tatizo au unahitaji maelezo zaidi andika hitaji lako hapo chini utajibiwa haraka iwezekanavyo kasha washirikishe (share) na wenzanko.
Jinsi ya kupunguza tumbo kutumia maji moto
Reviewed by info tza
on
2:00 PM
Rating:
Naanza kesho asubuhi
ReplyDeleteNaomba usaidizi ili niweze kupunguza tumbo
ReplyDeleteNi tunatakiwa kupunguza tumbo kwa kunywa maji ya moto kabisa au ya fukuto tu. Tumbo Kwangu limekuwa mtihani mkubwa jamani nisaidieni. Ila tumbo langu limetokana kuwa kubwa ni Sababu za kuzaa kwa upasuaji na watoto wa3 wote ni kwa upasuaji. Nisaidie doctor. God bless you.
ReplyDeleteNaomben nimsaidie jins ya kupunguza huu mwil imekua kero hmn
ReplyDeleteNaomben nimsaidie jins ya kupunguza huu mwil imekua kero hmn
ReplyDeleteMsaada jmn nipunguze huu mwil hasa tumbo
ReplyDeleteMsaada jmn nipunguze huu mwil hasa tumbo
ReplyDeleteThanks I will try to fix thc kwa Mwili wangu....I can't believe naelekea kg80 na nko na 20 age....thc z boring 💆
ReplyDeleteUsiogope utapunguza mwili Kwa maji ya moto Kwa uwezo WA Allah
Deleteinachukua muda gani kuanza kuona mabadiliko?
ReplyDeleteMwaka
DeleteNataka kupunguza tumbo,minyama uzembe na unene na uzito he nkitumia maji ya moto itasaidia?n kwa cku ngapi?au ln ntaona mabasiliko?
ReplyDeleteJe nitapata matokeo ndani ya siku ngap
ReplyDelete𝓝 𝓬𝓴𝓾 𝓷𝓰𝓪𝓹
ReplyDeleteJaman tumbo langu mim nilachini je litapungua kwa haraka
ReplyDeleteMimi natak kupungua tumbo na mwanangu anaumri 8yrs lkn amekuwa na kitumbo na mwili nataka nimpunguzishe mana bado mdogo uzito mkubwa
ReplyDelete