Wakazi watatu wa kijiji cha Nyamisati, wilayani Kibiti wanadaiwa kufariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo
Kwa mujibu wa mkazi mmoja wa kijiji hicho aliyefahamika kwa jina moja tu la Hamza amedai miongoni mwa wakazi waliopigwa risasi yupo mwanamke mmoja ambae ni Mwenyekiti wa kitongoji kimojawapo hapo kijijini
Wanaosadikika kupoteza maisha ni Hamid Kidevu, Yahaya Makame na Moshi Machela
Hii inatokea ikiwa ni siku chache zimepita tangu mkuu mpya wa jeshi la polisi IGP Simon Sirro, kuzungumza na wazee wa wilaya hiyo ya Kibiti.
Wakazi watatu wameuawa kwa kupigwa risasi Kibiti
Reviewed by info tza
on
1:03 AM
Rating:
No comments: