Vyuo vikuu bora duniani 2017
Taasisi ya QS world university inayopima ubora wa vyuo vikuu bora duniani wametoa list ya vyuo kumi bora duniani huku chuo kikuu cha nchini Marekani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) kikiendelea kuwa kileleni ya vyuo kama Stanford na Havard,
Ulinganisho wa vyuo vikuu hupimwa kwa mambo kama vile majarida na vitabu vya kisomi vilivyochapishwa, makala zilizonukuliwa, maoni ya wasomi pamoja na waajiri na pia ushiriki wa vyuo vikuu hivyo katika ngazi ya kimataifa.
Vyuo vikuu 10 bora zaidi duniani kwa mujibu wa QS World University Rankings
- Massachusetts Institute of Technology (MIT)
- Stanford
- Harvard
- California Institute of Technology (Caltech)
- Cambridge
- Oxford
- University College London
- Imperial College London
- Chicago
- ETH Zurich
Vyuo vikuu 10 bora duniani 2017
Reviewed by info tza
on
12:09 AM
Rating:
No comments: