Taasisi ya QS world university inayopima ubora wa vyuo vikuu bora duniani wametoa list ya vyuo hamsini bora duniani huku chuo kikuu cha nchini Marekani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) kikiendelea kuwa kileleni ya vyuo kama Stanford na Havard.
Ulinganisho wa vyuo vikuu hupimwa kwa mambo kama vile majarida na vitabu vya kisomi vilivyochapishwa, makala zilizonukuliwa, maoni ya wasomi pamoja na waajiri na pia ushiriki wa vyuo vikuu hivyo katika ngazi ya kimataifa.
Ulinganisho wa vyuo vikuu hupimwa kwa mambo kama vile majarida na vitabu vya kisomi vilivyochapishwa, makala zilizonukuliwa, maoni ya wasomi pamoja na waajiri na pia ushiriki wa vyuo vikuu hivyo katika ngazi ya kimataifa.
Vyuo Vikuu 50 bora zaidi duniani kwa mujibu waQS World University Rankings
- Massachusetts Institute of Technology (MIT)
- Stanford University
- Harvard University
- California Institute of Technology (Caltech)
- University of Cambridge
- University of Oxford
- UCL (University College London)
- Imperial College London
- University of Chicago
- ETH Zurich - Swiss Federal Institute of Technology
- Nanyang Technological University, Singapore (NTU)
- Ecole Polytechnique Fédérale de Lausanne (EPFL)
- Princeton University
- Cornell University
- National University of Singapore (NUS)
- Yale University
- Johns Hopkins University
- Columbia University
- University of Pennsylvania
- The Australian National University
- Duke University
- University of Michigan
- King's College London
- The University of Edinburgh
- Tsinghua University
- The University of Hong Kong
- University of California, Berkeley (UCB)
- Northwestern University
- The University of Tokyo
- The Hong Kong University of Science and Technology
- University of Toronto
- McGill University
- University of California, Los Angeles (UCLA)
- The University of Manchester
- London School of Economics and Political Science (LSE)
- Kyoto University
- Seoul National University
- Peking University
- University of California, San Diego (UCSD)
- Fudan University
- The University of Melbourne
- KAIST - Korea Advanced Institute of Science & Technology
- Ecole normale supérieure, Paris
- University of Bristol
- The University of New South Wales (UNSW Sydney)
- The Chinese University of Hong Kong (CUHK)
- Carnegie Mellon University
- The University of Queensland
- City University of Hong Kong
- The University of Sydney Chanzo# bbc
Vyuo Vikuu 50 bora zaidi duniani
Reviewed by info tza
on
12:31 AM
Rating:
No comments: