Uwiano wa jinsia unamanisha uwiano uliopo kwenye wingi
wa idadi ya wanaume na wanawake. Uwiano mzuri unaangalia kati ya wanawake 100
kuna wanaume wangapi. Kwa mujibu wa kumbukumbu iliyotolewa mwaka 1710 na tafiti
mbali mbali zilizofanyika hivi karibuni zimeonesha hiyo kumbukumbu ni saa mpaka
leo.
Kwenye kumbukumbu inaeleza kati ya watu 105 mpaka
107:100, inamanisha wapo wanaume 105 hadi 107 kwa kila wanawake 100. Kutokana na
idadi ya wanawake kuwa kubwa zaidi ya wanaume ina athiri zaidi uchumi wan chi kutokana
na kipato kinachoongizwa na kila mmoja wao.
Japo takwimu zinaonesha idadi ya wanaume ni kubwa
kuliko ya wanawake duniani ila kuna baadhi ya nchi wanawake ni wengi zaidi ya
wanaume. Hii inatokana na vitu mbalimbali mfano uvutaji wa madawa kama bangi,
kulewa, kuvuta sigara na kuendesha gari bila umakini husababisha vifo hasa
zaidi kwa wanaume kuliko wanawake.
Hapa nimekusogezea nchi zenye wanawake wengi duniani
Latvia
Ni nchi iliyokuwa ndani ya muungano wa Soviet, idadi
kubwa ya wanaume ilipungua zaidi hasa katika kipindi cha vita ya pili ya dunia.
Kwa mujibu wa takwimu iliyotolewa mwaka 2015 inaonesha kuna wanaume 85 kwa kila
wanawake 100 ambayo ni sawa na asilimia 54.10 ya idadi jumla ya watu.Wanaume wengi Latvia wanapoteza maisha kutokana na
ulevi, uvutaji wa sigara, uvutaji wa sigara na kujiua kutokana na kukosa kazi.
Lithuani
Idadi ya wanawake kwa mwaka 2015 ilionesha ni zaidi ya
asilimia 54. Kwa muda wa kuishi kati ya wanaume na wanawake inaonesha wanawake
wanaweza kuishi hadi miaka 79 na wanaume miaka 68.
Tatizo la wanaume kupungua
inatokana na uvutaji wa sigara, magonjwa ya akili na kujiua.
Curacao
Uwiano wa kijinsia kwa mwaka 2015 unaonesha kuna
tofauti ya wanaume 92 kati ya wanawake 100 ambayo ni sawa na asilimia 53.9. Tatizo
la wanaume kupungua inatokana na uvutaji wa sigara, magonjwa ya akili na
kujiua.
Ukraine
Ni nchi iliyokuwa kwenye muungano wa kupungua kwa wanaume
kunatokana na vita ya pili ya dunia Sovieti pamoja na kuhama hama . Kwa mujibu
wa takwimu ya 2015 inaonesha umri wa kuishi kwa wanaume ni miaka 62, tofauti na
wanawake ambao ni miaka 74 amabayo ni sawa na asilimia 53.7. tatizo kubwa la
kupungua kwa wanaume ni tatizo la kiakili na matatizo ya kiafya.
Nchi yenye wanawake wengi duniani
Reviewed by info tza
on
4:55 AM
Rating:
No comments: