Ndege za kivita za Urusi zimepishana salama na ndege
ndogo za kivita za Marekani bahari ya Baltic wakati wa mazoezi ya jeshi
yanayoendeshwa kila mwaka. Hii ni kwa mujibu wa tweet iliyotolewa na depatimenti
ya ulinzi ya nchi hiyo.
Kwa mujibu wa Pentagon , wanaeleza ndege vita ya
Urusi aina ya Su-27 imepishana na ndege vita za Marekani aina ya Boeing KC-135
Stratotanker ikiambatana na ndege vita mbili B-1 bombers and one B-52 wakati wa
mafunzo ya kijeshi ya kila mwaka yaliyoanza leo Jumamosi yanayojulikana kama
Baltic
Operations.
Kwa mujibu ya picha zilizotolewa na depatimenti ya
Ulinzi ilionesha ndege vita ikiruka sambamba na ndege vita za Marekani. Zimefanikisha
kupishana salama bila kuleta hatari baina ya marubani.
Ndege ya kivita ya Urusi imepishana na ndege 2 za Marekani bahari ya Baltic
Reviewed by info tza
on
1:44 PM
Rating:
No comments: