Mfuko wa Udhamini wa Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere unaosimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), unatangaza kutoa nafasi za udhamini (scholarships) kwa masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2017/18.Ufadhili huu,unalenga kuongeza hamasa na ufaulu kwa wanafunzi wa kike hapa nchini katika masomo yaHisabati na Sayansi. Unajumuisha gharama zote za ada, pesa za kujikimu, mafunzo ya vitendo na vifaa vya kujifunzia ikiwemo kompyuta mpakato (Laptop).
Ufadhili huo utatolewa kwa wanafunzi raia wa Tanzania wenye ufaulu wa
kiwango cha juu waliosajiliwa vyuo vikuu vinavyotambulika nchini. Kwa shahada ya kwanza, ufadhili utatolewa kwa wanafunzi wenye ufaulu
wa juu-yaani daraja la kwanza miongoni mwa wanafunzi kumi bora kitaifa
wa kidato cha sita mwaka 2017, kwa masomo ya Hisabati na Sayansi kwa
wanafunzi wa kike tu na masomo ya Uchumi, TEHAMA, Uhasibu na Fedha
kwa wanafunzi wa kike na wa kiume.
Kwa upande wa shahada ya uzamili, ufadhili utatolewa kwa wanafunzi wa
kike na wa kiume waliofaulu kwa kiwango cha juu katika shahada ya kwanza
kwa kozi za Hisabati, Sayansi, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu na Fedha.
kike na wa kiume waliofaulu kwa kiwango cha juu katika shahada ya kwanza
kwa kozi za Hisabati, Sayansi, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu na Fedha.
Mfuko unawahimiza wanafunzi wote, hasa wa kike, katika Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kujibidisha katika masomo na kupata ufaulu wa juu.
Muungano wa Tanzania kujibidisha katika masomo na kupata ufaulu wa juu.
Kwa Shahada ya Kwanza orodha ya wanafunzi kumi (10) bora wa kidato cha sita 2017 itaombwa toka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)baada ya
matokeo kutoka. Kwa Shahada ya Uzamili,maombi yatakaribishwa rasmi
kuanzia mwezi wa sita, 2017. Fomu za Maombi kwaajili ya Udhamini huu zitapatikana katika Tovuti ya Benki Kuu, ofisi za Benki makao makuu na
matawini kuanzia mwezi wa sita, 2017.

Limetolewa na:
Mwenyekiti, Kamati ya
Mfuko wa Udhamini wa Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere,
Benki Kuu ya Tanzania,
2 Mtaa wa Mirambo,
11884,
DAR ES SALAAM
VIGEZO VYA KUJIUNGA NA UDHAMINI HUO
Undergraduate scholarship criteria
The Undergraduate Scholarship is offered under two sub-categories: Category A
and B.
and B.
Undergraduate Degree Scholarship Category A
Field of Study: Degree Programmes related to Mathematics or Science
Target Group: Female Students only
Eligibility Criteria:
- Applicant must be a Tanzanian citizen,
- Applicant must be among the top best performers at ACSEE as per the National Examinations Council of Tanzania Holder of Division one with higher grades in Science and Mathematics subjects.
- Applicant must have completed the Advanced Certificate of Secondary School Education Examinations (ACSEE) in the same year applying for.
- Applicant must be admitted or intendto be admitted into a full time undergraduate degree programme in accredited universities in the United Republic of Tanzania.
- The course should commence in the respective academic year in any of the following fields:
- Mathematics
- Science
- Applicant must not be granted any other loan or bursary arrangement for the same study course and year
Added Advantage
- Consistent high academic performance from the Certificate of Secondary Education (CSEE).
Undergraduate Degree Scholarship - Category B
Field of Study: Degree Programmes related to Economics, Information Technology, Accounting and Finance.
Target Group: Female and Male Students
Eligibility Criteria
- Applicant must be a Tanzanian citizen Applicant must be among the top best performers at ACSEE as per the National Examinations Council of Tanzania -
- Holder of Divisionone with higher grades in Science, Mathematics, Commercial or Arts subjects.
- Applicant must have completed the Advanced Certificate of Secondary School Education Examinations (ACSEE) in the same year applying for.
- Applicant must be admitted or intend to be admitted into a full time undergraduate degree programme in accredited universities in the United Republic of Tanzania.
- The course should commence in the respective academic year in any of the following fields:
- Economics,
- Information Technology
- Accounting and Finance
- Applicant must not be granted any other loan or bursary arrangement for the same study course and year
Added Advantage
- Consistent high academic performance from the Certificate of Secondary Education (CSEE).
Master’s Degree Scholarship
Field of Study: Master’s Degree Programmes related to Mathematics, Science,
Economics, Information Technology, Accounting and Finance
Economics, Information Technology, Accounting and Finance
Target Group: Male and Female graduates
Eligibility Criteria
- Applicant must be a Tanzanian citizen
- Applicant must have obtained First Class or an Upper Second Class (honours) in the bachelor degree with a minimum GPA of 4.0,
- Applicant must have completed first degree in studies related toMathematics, Science, Economics, Information Technology, Accounting and Finance in the same year applying for or the previous academic year,
- Applicant must be admitted into a full time Master degree course in accredited universities in the United Republic of Tanzania. The course should commence in the respective academic year in any of the following fields:
- Mathematics
- Science
- Economics
- Information Technology
- Accounting and
- Finance
- Applicant must not possess any other educational loan or bursary arrangement provided for the same study course and year
Added Advantage
- Consistent high academic performance from the Advanced Certificate of Secondary Education (ACSEE).
Udhamini wa masomo elimu ya juu mwaka 2017/2018
Reviewed by info tza
on
11:45 PM
Rating:
No comments: