Hivi kwa takwimu hizi mnadhani aubameyang asingeaminiwa akiwa kijana leo hii angeweza kufanikiwa na kuwa mfungaj bora wa bundesliga na kumpiku Lewandowski yuko wapi Thomas muller , Basdost na Chicharito wote amewafunika yote hayo yamekuja kwasababu aliaminiwa akapewa nafasi na akaonyesha uwezo Leo hii klabu kubwa zote zinataka saini yake.
Imekuaje leo waafrika ndo tuongoze kumpinga onyekuru na kumdhihaki eti kisa ni muafrika na katokea ligi ya ubelgiji Onyekuru ameikuta klabu kwenye ligi daraja la (2) 2015/2016 akaisadia timu kupanda na akawa moja kati ya wafungaji bora , msimu wa 2016/2017 akawa mfungaji bora kwa kufikisha magoli 22 imekuaje tumdhihaki forward kama hyu na kumtukuza mbape mwenye magoli 16+ kwenye ligue one kuna tofauti gani kati ya ligi ya Ubelgiji na Ufaransa.
Chelsea leo wamesahau walipowatoa hazard,cortois,musonda na de bruyne , klabu ya liverpool uyo origi kwan ametokea wap au tunajitoa ufahamu tu kisa onyekuru ni muafrika
Henry onyekuru ni mmoja kati ya wachezaj wenye vipaj vya kupinduki dog anauwez wakudraiv Mpira na kuondka na mabeki hata wawili , anauwezo wakushoot kutka mbali ni finisher wa hatari na amenunuliwa kwa £6.5 tu ona arsenal wenyw wanavyoomwona Lucas perez & welbeck ni bora na kumdharau onyekuru alieipandisha klabu yake ya KAS eupen na kuwa mfungaj kwenye msimu huu wa 2016/2017 , hivi mnadhani wenga ni mjinga kumnunua onyekuru , wenga ni mmoja kati ya makocha ambao pia ni mascouti wa hatari tatiz lake huwa anakosa fedha tu hiyo imempelekea kukosa wachezaji wengi wenye vipaj ikiwemo lionell messi,benzema.
Naamini onyenkuru anakipaji kikubwa na endapo akipewa nafasi anaweza kuudhihirishia ulimwengu kipaj chake kama alivyofanya aubameyang ,Wew kama bado hujaamini bas endelea kuamini kwamba Abel Henderson anamzid kiwango samata pale hullcity au samata anazidiwa kiwango na Solomon rondon pale westbrom endelea hivyo hivyo
Hivi bado kuna watu wana maswali kuhusu victor wanyama si ndo yule muafrika mashariki mwenzetu aliyewanyima namba kina bentaleb ,chadli & erick lamela au huwa mnasahau endleeni tu kumdharau onyekuru.
Nimejifunza kitu kwa Henry onyekuru
Reviewed by info tza
on
1:58 AM
Rating:
No comments: