Nchi za Bulgaria, Hungary na Romania zitakuwa mwenyeji wa kwata kubwa ikiongozwa na Marekani na washirika wake ambayo itafahamika kama 'Saber Guardian 2017' exercise.
Mazoezi yanatarajia kuanza mwezi wa saba tarehe 10 hadi 20 mwaka huu ambapo inasemekana itakuwa kubwa na yenye mafanikio makubwa kuliko kwata nyingine zilizopita alisema kamanda mkuu wa Marekani anayeongoza kamandi ya Ulaya ambapo itafanyika Bahari Nyeusi na kuhusisha vikosi 25,000 vya jeshi, zikiwemo meli, ndege, magari na vifaru vya jeshi.
Vikosi 25,000 kupiga kwata Bahari Nyeusi
Reviewed by info tza
on
1:35 AM
Rating:
No comments: