Radi yafanya mechi kati ya kinara wa ligi kuu ya Hispania Real Madrid na klabu ya Celta Vigo ihairishwe hii leo



Katika hali isiyokuwa ya kawaida mechi kati ya vinara wa ligi kuu ya Hispania Real Madrid na Celta Vigo iliyokuwa ichezwe leo hii siku ya jumapili imehairishwa kwa usalma wa wachezaji na watazamaji baada ya paa la uwanja kuharibiwa na radi 

Baada ya kuonekana hakuna mda wa kuanza kuukarabati uwanja ili mechi iweze kuchezwa, leo bodi ya ligi kuu ya Hispania imetangaza kuhairishwa kwa mechi hiyo. huku wakitoa sababu nyingine kwamba fireextinguisher hazitoshi kwa sehemu iliyohalibiwa na radi.  Huku wakisema watato tarehe nyingine ili mchezo huo uludiwe.




Radi yafanya mechi kati ya kinara wa ligi kuu ya Hispania Real Madrid na klabu ya Celta Vigo ihairishwe hii leo Radi yafanya mechi kati ya kinara wa ligi kuu ya Hispania Real Madrid na klabu ya Celta Vigo  ihairishwe hii leo Reviewed by info tza on 2:05 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.