Dah, Antonia Conte si mtu wa mchezo mchezo kaenda turin kuangalia mechi kati ya Juventus na Inter Milan


Meneja Mkuu wa Chelsea Antonio Conte

Meneja mkuu wa Chelsea si mtu wa kuchukulia kikawaida baada ya kuwalaza washika bunduki wa london Arsenal the gunners 3 kwa 1  kaenda zake Turin, Italia kuangalia mechi kati ya Juventus na Inter milan kwa mwaliko wa raisi wa Klabu ya Juventus akimuelezea kama mtu mwenye historia kubwa na timu hiyo ya serial A, akiwa amepita kwenye timu ya Juventus kama mchezaji na kama kocha pia.




Juventus wakimenyana na Inter Millan

Huku mechi hiyo ikiwa inachezwa Juventus wana faida ya mchezo mmoja ukilinganisha na Inter millan huku wakiwa na pointi 51 baada ya kucheza mechi 21. Inter Millan nao wakiwa na pointi 42 baada ya kucheza mechi 22.

Dah, Antonia Conte si mtu wa mchezo mchezo kaenda turin kuangalia mechi kati ya Juventus na Inter Milan Dah, Antonia Conte si mtu wa mchezo mchezo kaenda turin kuangalia mechi kati ya Juventus na Inter Milan Reviewed by info tza on 1:37 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.