Uwanja wa ndege mkubwa zaidi duniani
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa umezinduliwa jijini Istanbul, nchini Uturuki ikiaminiwa ndio uwanja wa ndege mkubwa zaidi duniani. Uwanja huo uligharimu TZS trilioni 27 utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kuwahudumia watu milioni 200 duniani, mashirika ya ndege 100, na safari kwenda katika viwanja vingine 300.! Angalia video kwa baadhi ya muonekano ya uwanja huo. !
Uwanja wa ndege mkubwa zaidi duniani
Reviewed by info tza
on
10:06 AM
Rating:

No comments: